Yahoo Suche Web Suche

Suchergebnisse

  1. Suchergebnisse:
  1. Vor 4 Tagen · Samia Suluhu Hassan, Shahada ya Udaktari wa Heshima katika Uchumi kwa kutambua Uongozi wake wa kipekee ambao umeleta mageuzi makubwa ya kijamii, kisiasa, na kiuchumi nchini Tanzania. Mageuzi hayo yameboresha ustawi wa Watanzania; na kuimarisha sifa ya Tanzania ulimwenguni; na yamekuza mahusiano ya kibiashara, kiuchumi na kisiasa kati ya Tanzania na nchi nyingine, ikiwemo Uturuki.

  2. Vor einem Tag · Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mtafiti wa Kituo cha Kubadilishana Maarifa ya Kidunia na Maendeleo (GKED)Hyerin Byun kuhusu safari ya Mafanikio ya Nchi ya Jamhuri ya Korea wakati alipotembelea Kituo hicho kilichopo Seoul nchini humo tarehe 01 Juni, 2024. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia […]

  3. Vor 4 Tagen · Rais Samia nchini humo, inalenga pamoja na mambo mengine kukuza na kuimarisha ushirikiano na uhusiano wa kisiasa na kidiplomasia katı ya nchi hizi mbili ambao umedumu wa miaka 32 sasa tangu ulipoanzishwa mwaka 1992. Mhe. Makamba ameongeza kuwa, akiwa nchini humo, Mhe. Rais Samia atakutana kwa mazungumzo rasmi na mwenyeji wake Mhe. Rais Yoon ...

  4. Vor 2 Tagen · Rais Samia amewasili jijini Seoul saa 12 jioni kwa saa za Korea (saa 6 mchana saa za Tanzania) na kesho Juni mosi, 2024 ataanza ziara ya kitaifa na baadaye Juni 4 na 5 atashiriki mkutano kati ya Korea Kusini na viongozi wa mataifa ya Afrika. Katika ziara hiyo Rais Samia ameambatana na viongozi mbalimbali wakiwemo Waziri wa Habari, Mawasiliano ...

  5. Vor 4 Tagen · Rais Samia amemteua Alban Kihulla kuwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo (WMA). Kabla ya uteuzi huo alikuwa akikaimu nafasi hiyo. Pia amemteua Profesa Najat Kassim Mohamed kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC). Kabla ya uteuzi huo, Profesa Najat alikuwa Naibu Mkuu wa Chuo (Mipango, Utawala na Fedha), Taasisi ya ...

  6. Vor 5 Tagen · Kwa mujibu wa Msuya, uongozi wa Rais Samia umekuwa na mafaniko makubwa akiainisha kauli yake ‘Aliyesimama hapa ni Rais Mwanamke’ aliyoitoa wakati wa msiba wa aliyekuwa Rais Magufuli, ambayo Rais Samia alitaka kuonesha kwamba Rais ni Taasisi, na mamlaka aliyonayo ndio waliyokuwa nayo viongozi wengine waliopita.